Kiswahili Form 1 Syllabus

Image result for Kiswahili Form 1

Kiswahili ni Lugha ya kibantu; inatumika kama lugha ya taifa au rasmi katika baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kama vile Tanzania, DRC, Kenya, Burundi, Rwanda na Uganda. Hadi hivi sasa lugha ya Kiswahili inakadiriwa kuzungumzwa na watu zaidi ya milioni 60 duniani kote. Mataifa mengine ya Afrika yanayozungumza Kiswahili ni pamoja na Comoro, Zambia, Malawi na Msumbiji. Kiswahili pia kinazungumzwa katika baadhi ya nchi za Kiarabu kama vile Yemen, UAE n.k

Kiswahili Form 1 Syllabus
 1. Mawasiliano Syllabus
  1. Lugha kama Chombo cha Mawasiliano Syllabus
   1. Elezea maana ya mawasiliano Syllabus
   2. Fafanua dhima za lugha katika mawasiliano Syllabus
   3. Fafanua matumizi na umuhimu wa lugha Syllabus
  2. Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili Syllabus
   1. Elezea maana ya matamshi Syllabus
   2. Bainisha sauti za lugha ya Kiswahili Syllabus
   3. Elezea kuhusu lafudhi ya Kiswahili Syllabus
 2. Aina Za Maneno Syllabus
  1. Ubainishaji wa aina Saba za Maneno Syllabus
   1. Bainisha aina saba za maneno ya Kiswahili Syllabus
  2. Ufafanuzi wa aina za Maneno Syllabus
   1. Elezea maana ya kila aina ya neno Syllabus
  3. Matumizi ya aina za Maneno katika Tungo Syllabus
   1. Elezea matumizi ya aina za maneno katika tungo Syllabus
  4. Matumizi ya Kamusi Syllabus
   1. Elezea maana ya Kamusi Syllabus
   2. Elezea jinsi ya kutumia kamusi Syllabus
   3. Fafanua taarifa ziingizwazo katika kamusi Syllabus
 3. Fasihi Kwa Ujumla Syllabus
  1. Dhima ya Fasihi Syllabus
   1. Elezea dhana ya fasihi Syllabus
   2. Fafanua dhima za fasihi katika jamii Syllabus
  2. Aina za Fasihi Syllabus
   1. Fafanua dhana ya fasihi simulizi Syllabus
   2. Elezea sifa na dhima za fasihi simulizi Syllabus
   3. Fafanua dhana ya fasihi andishi Syllabus
   4. Elezea sifa na dhima za fasihi andishi Syllabus
   5. Onesha tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi Syllabus
 4. Fasihi Simulizi Syllabus
  1. Ubainishaji wa Tanzu za Fasihi Simulizi Syllabus
   1. Bainisha tanzu za fasihi simulizi Syllabus
  2. Ufafanuzi wa Vipera vya Tanzu za Fasihi Simulizi Syllabus
   1. Fafanua vipera vya hadithi Syllabus
   2. Fafanua vipera vya ushairi Syllabus
   3. Fafanua vipera vya semi Syllabus
   4. Fafanua vipera vya maigizo Syllabus
  3. Uhakiki wa kazi za Fasihi Simulizi Syllabus
   1. Elezea umuhimu wa uhakiki wa kazi za fasihi simulizi Syllabus
   2. Elezea vigezo vya uhakiki wa kazi za fasihi simulizi Syllabus
   3. Elezea uhakiki wa hadithi Syllabus
   4. Hakiki matumizi ya semi katika hadithi Syllabus
 5. Usimulizi Syllabus
  1. Usimulizi wa Hadithi Syllabus
   1. Elezea njia za usimulizi wa hadithi Syllabus
  2. Usimulizi wa Habari Syllabus
   1. Fafanua taratibu za usimulizi wa matukio Syllabus
 6. Uandishi Wa Insha Syllabus
  1. Insha za Wasifu Syllabus
   1. Elezea hatua za uandishi wa insha Syllabus
   2. Fafanua muundo wa insha Syllabus
   3. Tofautisha insha za kisanaa na zisizo za kisanaa Syllabus
 7. Uandishi Wa Barua Syllabus
  1. Barua za Kirafiki Syllabus
   1. Elezea muundo wa barua za kirafiki Syllabus
 8. Ufahamu Syllabus
  1. Kusikiliza Syllabus
   1. Elezea mambo ya kuzingatia katika ufahamu wa kusikiliza Syllabus
   2. Jibu maswali kutokana na habari uliyosikiliza Syllabus
  2. Kusoma kwa Sauti Syllabus
   1. Elezea mambo ya Kuzingatia katika ufahamu wa kusoma kwa sauti Syllabus
   2. Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma Syllabus
  3. Kusoma Kimya Syllabus
   1. Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma Syllabus
  4. Kusoma kwa Burudani Syllabus
   1. Fafanua mambo ya kuzingatiwa katika ufahamu wa kusoma kwa burudani Syllabus

DOWNLOAD APP YETU HAPA

Please Share this post with friends

Leave a comment