Names Call for Interview at Different Office
Table of Contents
JIUNGE NASI KWENYE TELEGRAM GROUP. BOFYA HAPA!
DOWNLOAD OUR APP CLICK HERE GET JOBS AND SCHOLARSHIP UPDATES DAILY
WARNING
Be aware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
SHARE THIS POST ON WHATSAPP
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Rural Energy Agency (REA), Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), Water Institute, (WI), Cashewnut Board of Tanzania (CBT), Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA), Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Halmashauri
ya Manispaa ya Musoma, Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Halmashauri ya Wilaya ya Uyui, Halmashauri ya Wilaya ya Busega na Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 10 Aprili hadi 14 Aprili, 2021 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Names Call for Interview at Different Office
SOMA ZAIDI HAPA
AU BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF FAILI