TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI KWA WAOMBAJI KAZI WA NAFASI ZA TAASISI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) NA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE

JOIN WHATSAPP GROUP HERE  |  JOIN TELEGRAM GROUP HERE

UNAWEZA JIPATIA NOTES ZETU KWA KUCHANGIA KIASI KIDOGO KABISA:PIGA SIMU:0787237719

DOWNLOAD OUR APP CLICK HERE GET JOBS AND SCHOLARSHIP UPDATES DAILY

WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!

SHARE THIS POST ON WHATSAPP

KATIBU WA SEKRETARIETI YA AJIRA ANAPENDA KUWATANGAZIA WAOMBAJI KAZI WOTE WALIOITWA KWENYE USAILI WA TAASISI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)  NA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE KUPITIA TANGAZO LA TAREHE 01 APRIL, 2021 KUWA TAREHE ZA USAILI ZIMEBADILIKA KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU. HIVYO MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI NI KAMA IFUATAVYO;

Recommended For You:

New government and private jobs in Tanzania

KADA YA PROJECT ENGINEER, MONITORING AND EVALUATION OFFICER II NA PROCUREMENT OFFICER II.

  1. TAREHE YA USAILI WA MCHUJO NI 24 APRIL 2021, MUDA NI SAA 1 KAMILI ASUBUHI
  2. TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO NI 27 APRIL 2021, MUDA NI SAA 1 KAMILI ASUBUHI.

KADA YA AFISA UGAVI MSAIDIZI- HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE

  1. TAREHE YA USAILI WA MCHUJO NI 24 APRIL 2021, MUDA NI SAA 1 KAMILI ASUBUHI
  2. TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO NI 27 APRIL 2021, MUDA NI SAA 1 KAMILI ASUBUHI.

NB: MAHALI NA SEHEMU ZA KUFANYIA USAILI ZINABAKI KAMA TANGAZO LA AWALI LA KUITWA KWENYE USAILI.

TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOWEZA KUJITOKEZA BAADA YA KUTOLEWA KWA TAARIFA HIYO.

Recommended for you:

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 12/04/2021 YA CHUO CHA MAJI

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published.