UCHAMBUZI WA RIWAYA | TAKADINI ( BEN, J. HANSON)

Posted on

UCHAMBUZI WA RIWAYA TAKADINI
MWANDISHI: BEN J. HANSON WACHAPISHAJI: MATHEWS BOOKSTORE AND STATIONARIES
MWAKA:2004

 

JINA LA KITABU
Jina la kitabu TAKADINI lina maana ya “Sisi tumefanya nini”. Hili ni jina ambalo Sekai alimpa mwanae mara baada ya kumzaa. Jina hili lilitokana na majonzi aliyokuwa nayo juu ya kutaka kuuawa kwa mwanae na yeye ilihali hawakuwa na hatia, ila tu kwa sababu ya mila za jamii yake zilivyotaka. Jina hili la kitabu ni sadifu kwani linasawiri vyema maudhui yaliyomo katika kitabu hiki. “Sisi tumefanya nini?’ ni swali ambalo linatokana na ukosefu wa haki ya kuishi, kubaguliwa kutopendwa, na hata kutengwa kwa watu wenye matatizo katika jamii. Swali hili linawalelekea wanajamii ambao bado wanashikilia mila potofu zinazowakandamiza na kuwanyanyasa watu wenye matatizo mfano, ulemavu wa ngozi, wagonjwa nk. Jina hili pia ni sadifu kwa maisha ya jamii yetu ya watanzania kwani watu bado wanashikilia mila potofu ambazo si nzuri. Mwandishi ametumia jina hili makusudi ili kutaka kuionesha jamii hali halisi ya vilio vya albino, wasichana wadogo wanaolazimishwa kuolewa nk. Kuwa huu sasa ni muda mwafaka wa jamii kuyaacha na kutupilia mbali mambohayo.

Kupata document Yote 


BOFYA HAPA KUPAKUA PDF

UNAWEZA JIPATI NOTES ZETU KWA KUCHANGIA KIASI KIDOGO KABISA:PIGA SIMU:0787237719

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *